2 Samuel 18:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watumishi wa Daudi waliwashinda watu wa Israeli. Mauaji ya siku hiyo yalikuwa makubwa kwani watu 20,000 waliuawa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huko jeshi la Israeli likashindwa na watu wa Daudi; siku hiyo majeruhi walikuwa wengi, idadi ya watu elfu ishirini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu wa Israeli wakapigwa huko mbele ya watumishi wa Daudi, kukawa na maangamizo makuu huko siku ile, ya watu ishirini elfu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watumishi wa Daudi waliwashinda watu wa Israeli. Mauaji ya siku hiyo yalikuwa makubwa kwani watu 20,000 waliuawa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huko jeshi la Israeli likashindwa na watu wa Daudi, siku hiyo majeruhi walikuwa wengi kiasi cha watu ishirini elfu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huko jeshi la Israeli likashindwa na watu wa Daudi, siku hiyo majeruhi walikuwa wengi kiasi cha watu ishirini elfu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wa Israeli wakapigwa huko mbele ya watumishi wa Daudi, kukawa na maangamizo makuu huko siku ile, ya watu elfu ishirini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watumishi wa Daudi waliwashinda watu wa Israeli. Mauaji ya siku hiyo yalikuwa makubwa kwani watu 20,000 waliuawa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao watu wa Waisiraeli wakapigwa kabisa na watumishi wa Dawidi, wapata hata 20000,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu wa Israeli wakapigwa huko mbele ya watumishi wa Daudi, kukawa na maangamizo makuu huko siku ile, ya watu ishirini elfu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watumishi wa Daudi waliwashinda watu wa Israeli. Mauaji ya siku hiyo yalikuwa makubwa maana watu elfu makumi mbili waliuawa.