2 Samuel 18:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mapigano hayo yalienea nchini kote na watu wengi walikufa msituni kuliko wale waliouawa kwa upanga vitani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vita vikaenea nchi nzima, watu wengi zaidi wakifia msituni siku hiyo kuliko waliouawa kwa upanga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana vita vilienea huko juu ya uso wote wa nchi; na siku ile huo msitu ukala watu wengi kuliko wale walioliwa na upanga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mapigano hayo yalienea nchini kote na watu wengi walikufa msituni kuliko wale waliouawa kwa upanga vitani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vita vikaenea nchi nzima, watu wengi zaidi wakifia msituni siku hiyo kuliko waliouawa kwa upanga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vita vikaenea nchi nzima, watu wengi zaidi wakifia msituni siku hiyo kuliko waliouawa kwa upanga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana vita vilienea huko juu ya uso wote wa nchi; na siku ile huo msitu ukala watu wengi kuliko wale walioliwa na upanga.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mapigano hayo yalienea nchini kote na watu wengi walikufa msituni kuliko wale waliouawa kwa upanga vitani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nayo mapigano yalikuwa yameenea po pote katika nchi hiyo, nao watu, mwitu uliowala, walikuwa wengi kuliko wao, panga ziliowala siku hiyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana vita vilienea huko juu ya uso wote wa nchi; na siku ile huo msitu ukala watu wengi kuliko wale walioliwa na upanga.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mapigano hayo yalienea katika inchi yote na watu wengi walikufa katika pori kuliko wale waliouawa kwa upanga katika vita.