2 Samuel 19:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yoabu aliambiwa kwamba mfalme alikuwa akilia na kuomboleza juu ya kifo cha Absalomu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yoabu akaambiwa, “Mfalme analia na kumwombolezea Absalomu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Yoabu akaambiwa, Angalia, mfalme anamlilia Absalomu na kumwombolezea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yoabu aliambiwa kwamba mfalme alikuwa akilia na kuomboleza juu ya kifo cha Absalomu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yoabu akaambiwa, “Mfalme analia na kumwombolezea Absalomu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yoabu akaambiwa, “Mfalme analia na kumwombolezea Absalomu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Yoabu akaambiwa, Angalia, mfalme anamlilia Absalomu na kumwombolezea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yoabu aliambiwa kwamba mfalme alikuwa akilia na kuomboleza juu ya kifo cha Absalomu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yoabu alipopashwa habari kwamba: Tazama, mfalme analia na kumwombolezea Abisalomu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Yoabu akaambiwa, Angalia, mfalme anamlilia Absalomu na kumwombolezea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hapo mufalme alishikwa na huzuni kubwa, akapanda kwenye chumba kilichokuwa juu ya mulango na kulia. Alipokuwa anapanda, alilia akisema: “Mwana wangu Abusaloma, mwana wangu Abusaloma! Ingekuwa heri ningalikufa pahali pako! Ole, Abusaloma mwana wangu! Mwana wangu!”