2 Samuel 19:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, mfalme akaja mto Yordani na watu wote wa Yuda wakaja mpaka Gilgali kumlaki mfalme na kumvusha mtoni Yordani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo mfalme akarudi, akaenda hadi kufikia Mto Yordani. Basi watu wa Yuda walikuwa wamekuja Gilgali ili kutoka kwenda kumlaki mfalme na kumvusha Mto Yordani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hivyo mfalme akarudi, akafika Yordani. Kisha Yuda wakaja Gilgali kwenda kumlaki mfalme, na kumvusha mfalme Yordani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, mfalme akaja mto Yordani na watu wote wa Yuda wakaja mpaka Gilgali kumlaki mfalme na kumvusha mtoni Yordani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo mfalme akarudi, akaenda hadi kufikia Mto Yordani. Basi watu wa Yuda walikuwa wamekuja mpaka Gileadi ili kutoka kwenda kumlaki mfalme na kumvusha Mto Yordani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo mfalme akarudi, akaenda hadi kufikia Mto Yordani. Basi watu wa Yuda walikuwa wamekuja mpaka Gilgali ili kutoka kwenda kumlaki mfalme na kumvusha Mto Yordani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hivyo mfalme akarudi, akafika Yordani. Kisha watu wa Yuda wakaja Gilgali kumlaki mfalme, na kumvusha mfalme Yordani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, mfalme akaja mto Yordani na watu wote wa Yuda wakaja mpaka Gilgali kumlaki mfalme na kumvusha mtoni Yordani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, mfalme aliporudi; alipofika Yordani, Wayuda walikuwa wamefika Gilgali kumwendea mfalme njiani, wamvushe mfalme Yordani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hivyo mfalme akarudi, akafika Yordani. Kisha Yuda wakaja Gilgali kwenda kumlaki mfalme, na kumvusha mfalme Yordani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo, Daudi aliivuta mioyo ya watu wote wa Yuda kama mutu mumoja. Halafu, wakamupelekea ujumbe kusema: “Rudi kwako, wewe na watumishi wako wote.”