2 Samuel 19:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shimei mwana wa Gera, Mbenyamini, kutoka Bahurimu, alifanya haraka kwenda pamoja na watu wengine ili kumlaki mfalme Daudi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Shimei mwana wa Gera, wa kabila la Benyamini kutoka Bahurimu, akaharakisha kuteremka pamoja na wanaume wa Yuda ili kumlaki Mfalme Daudi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafanya haraka Shimei, mwana wa Gera, Mbenyamini, wa Bahurimu akashuka pamoja na watu wa Yuda ili kumlaki mfalme Daudi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shimei mwana wa Gera, Mbenyamini, kutoka Bahurimu, alifanya haraka kwenda pamoja na watu wengine ili kumlaki mfalme Daudi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Shimei mwana wa Gera, wa kabila la Benyamini kutoka Bahurimu, akaharakisha kutelemka pamoja na watu wa Yuda ili kumlaki Mfalme Daudi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Shimei mwana wa Gera, wa kabila la Benyamini kutoka Bahurimu, akaharakisha kuteremka pamoja na watu wa Yuda ili kumlaki Mfalme Daudi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafanya haraka Shimei, mwana wa Gera, Mbenyamini, wa Bahurimu akashuka pamoja na watu wa Yuda ili kumlaki mfalme Daudi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shimei mwana wa Gera, Mbenyamini, kutoka Bahurimu, alifanya haraka kwenda pamoja na watu wengine ili kumlaki mfalme Daudi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Mbenyamini Simei, mwana wa Gera, aliyekaa Bahurimu, akaja upesi, akashuka pamoja na watu wa Yuda kumwendea mfalme Dawidi njiani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafanya haraka Shimei, mwana wa Gera, Mbenyamini, wa Bahurimu akashuka pamoja na watu wa Yuda ili kumlaki mfalme Daudi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, mufalme akakuja kwenye muto Yordani na watu wote wa Yuda wakakuja mpaka Gilgali kwa kumupokea mufalme na kumuvukisha muto Yordani.