2 Samuel 19:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo Abishai mwana wa Seruya akasema, “Je, si lazima Shimei auawe maana alimlaani mtu ambaye Mwenyezi-Mungu amemteua kwa kumpaka mafuta?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Abishai mwana wa Seruya akasema, “Je, Shimei hapaswi kuuawa kwa ajili ya hili? Alimlaani mpakwa mafuta wa Mwenyezi Mungu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Abishai, mwana wa Seruya, akajibu na kusema, Je! Shimei hatauawa kwa sababu hii, kwa kuwa amemlaani masihi
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo Abishai mwana wa Seruya akasema, “Je, si lazima Shimei auawe maana alimlaani mtu ambaye Mwenyezi-Mungu amemteua kwa kumpaka mafuta?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Abishai mwana wa Seruya akasema, “Je, Shimei hapaswi kuuawa kwa ajili ya hili? Alimlaani mpakwa mafuta wa BWANA.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Abishai mwana wa Seruya akasema, “Je, Shimei hapaswi kuuawa kwa ajili ya hili? Alimlaani mpakwa mafuta wa bwana.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Abishai, mwana wa Seruya, akajibu na kusema, Je! Shimei hatauawa kwa sababu hii, kwa kuwa amemlaani masihi wa BWANA?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo Abishai mwana wa Seruya akasema, “Je, si lazima Shimei auawe maana alimlaani mtu ambaye Mwenyezi-Mungu amemteua kwa kumpaka mafuta?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Abisai, mwana wa Seruya, alipojibu na kusema: Je? Simei asiuawe kwa ajili ya hayo tu? Kwani alimtukana aliyepakwa mafuta na Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Abishai, mwana wa Seruya, akajibu na kusema, Je! Shimei hatauawa kwa sababu hii, kwa kuwa amemlaani masihi wa BWANA?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana, mimi mutumishi wako ninajua kwamba nilitenda zambi. Hii ndiyo sababu nimekuja leo, nikiwa wa kwanza katika kabila la Yosefu kuja kukupokea wewe bwana wangu, mufalme.”