2 Samuel 19:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo, siku hiyo, watu waliingia mjini kimyakimya kama watu wanaorudi mjini wakiona aibu kwa kukimbia vita.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku ile watu wakaingia mjini kimya kama vile waingiavyo kwa aibu watu waliokimbia kutoka vitani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu wakajificha siku ile, wakaingia mjini kama vile watu waonao fedheha wajifichavyo, hapo wakimbiapo vitani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo, siku hiyo, watu waliingia mjini kimyakimya kama watu wanaorudi mjini wakiona aibu kwa kukimbia vita.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku ile watu wakaingia mjini kimya kama vile waingiavyo kwa aibu watu waliokimbia kutoka vitani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku ile watu wakaingia mjini kimya kama vile waingiavyo kwa aibu watu waliokimbia kutoka vitani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wakajificha siku ile, wakaingia mjini kama vile watu waonao fedheha wajifichavyo, hapo wakimbiapo vitani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo, siku hiyo, watu waliingia mjini kimyakimya kama watu wanaorudi mjini wakiona aibu kwa kukimbia vita.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo wakaingia mjini siku hiyo na kujifichaficha kama wezi, wakawa kama watu wanaotoka vitani na kujifichaficha kama wezi, kwa kuwa wametoroka vitani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu wakajificha siku ile, wakaingia mjini kama vile watu waonao fedheha wajifichavyo, hapo wakimbiapo vitani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ushindi wa siku hiyo uligeuzwa kuwa maombolezo kwa watu wote, waliposikia kwamba mufalme anamwombolezea Abusaloma.