2 Samuel 19:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Barzilai Mgileadi alikuwa amefika kutoka Rogelimu. Alikuwa amekwenda pamoja na mfalme kwenye mto Yordani ili kumsindikiza hadi ngambo ya mto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Barzilai, Mgileadi, pia akashuka kutoka Rogelimu ili kuvuka Yordani pamoja na mfalme na kumsindikiza kutoka huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena Barzilai, Mgileadi, akashuka kutoka Rogelimu; akavuka Yordani pamoja na mfalme, amvushe Yordani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Barzilai Mgileadi alikuwa amefika kutoka Rogelimu. Alikuwa amekwenda pamoja na mfalme kwenye mto Yordani ili kumsindikiza hadi ng'ambo ya mto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Barzilai, Mgileadi, pia akashuka kutoka Rogelimu ili kuvuka Yordani pamoja na mfalme na kumsindikiza kutoka huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Barzilai, Mgileadi, pia akashuka kutoka Rogelimu ili kuvuka Yordani pamoja na mfalme na kumsindikiza kutoka huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena Barzilai, Mgileadi, akashuka kutoka Rogelimu; akavuka Yordani pamoja na mfalme, amvushe Yordani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Barzilai Mgileadi alikuwa amefika kutoka Rogelimu. Alikuwa amekwenda pamoja na mfalme kwenye mto Yordani ili kumsindikiza hadi ngambo ya mto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Barzilai wa Gileadi alikuwa ameshuka toka Roglimu, akapita naye mfalme kufika Yordani, apate kumvusha huko Yordani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena Barzilai, Mgileadi, akashuka kutoka Rogelimu; akavuka Yordani pamoja na mfalme, amvushe Yordani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Mefiboseti akamwambia mufalme: “Umuruhusu Siba atwae inchi yote peke yake. Mimi nimetosheka kwamba wewe bwana wangu mufalme umerudi kwako salama.”