2 Samuel 19:33 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, mfalme Daudi akamwambia Barzilai, “Twende wote huko Yerusalemu nami nitakutunza.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme akamwambia Barzilai, “Vuka pamoja nami na ukae nami huko Yerusalemu, nami nitakupatia mahitaji yako.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye mfalme akamwambia Barzilai, Uvuke pamoja nami; nami nitakulisha kwangu huko Yerusalemu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, mfalme Daudi akamwambia Barzilai, “Twende wote huko Yerusalemu nami nitakutunza.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme akamwambia Barzilai, “Vuka pamoja nami na ukae nami huko Yerusalemu, nami nitakupatia mahitaji yako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme akamwambia Barzilai, “Vuka pamoja nami na ukae nami huko Yerusalemu, nami nitakupatia mahitaji yako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye mfalme akamwambia Barzilai, Uvuke pamoja nami; nami nitakulisha kwangu huko Yerusalemu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, mfalme Daudi akamwambia Barzilai, “Twende wote huko Yerusalemu nami nitakutunza.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfalme akamwambia Barzilai: Wewe fuatana na mimi, nami nikutunze kwangu Yerusalemu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye mfalme akamwambia Barzilai, Uvuke pamoja nami; nami nitakulisha kwangu huko Yerusalemu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Barzilayi alikuwa muzee sana, mwenye umri wa miaka makumi nane. Naye Barzilayi alikuwa amemutunza mufalme alipokaa kule Mahanaimu, kwa sababu alikuwa tajiri sana.