2 Samuel 19:36 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi mtumishi wako nitakwenda nawe mwendo mfupi ngambo ya Yordani. Kwa nini, mfalme anilipe zawadi kubwa hivyo?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtumishi wako atavuka Yordani pamoja na mfalme kwa umbali mfupi tu, lakini kwa nini mfalme anizawadie kwa namna hii?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtumwa wako ataka kuvuka Yordani tu pamoja na mfalme; tena mbona mfalme anilipie thawabu ya namna hii?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi mtumishi wako nitakwenda nawe mwendo mfupi ng'ambo ya Yordani. Kwa nini, mfalme anilipe zawadi kubwa hivyo?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtumishi wako atavuka Yordani pamoja na mfalme kwa umbali mfupi tu, lakini kwa nini mfalme anizawadie kwa namna hii?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtumishi wako atavuka Yordani pamoja na mfalme kwa umbali mfupi tu, lakini kwa nini mfalme anizawadie kwa namna hii?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtumishi wako ataka kuvuka Yordani tu pamoja na mfalme; tena mbona mfalme anilipie thawabu ya namna hii?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi mtumishi wako nitakwenda nawe mwendo mfupi ngambo ya Yordani. Kwa nini, mfalme anilipe zawadi kubwa hivyo?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kidogo tu mtumishi wako atamsindikiza mfalme, akiisha kuuvuka Yordani. Sababu gani mfalme anataka kunirudishia tendo hili kwa njia ile?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtumwa wako ataka kuvuka Yordani tu pamoja na mfalme; tena mbona mfalme anilipie thawabu ya namna hii?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi leo nina umri wa miaka makumi nane. Niko na uwezo wa kutambua yanayokuwa mazuri na yale yasiyokuwa mazuri? Mimi mutumishi wako ninaweza tena kutambua onjo ya kile ninachokula au kunywa? Nitaweza tena kutambua uzuri wa sauti za waimbaji wanaume au wanawake? Kwa nini mimi mutumishi wako nikuwe muzigo wa zaidi kwako bwana wangu mufalme?