2 Samuel 2:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abneri akamwambia Yoabu, “Waruhusu vijana wapambane mbele yetu!” Yoabu akamjibu, “Sawa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Abneri akamwambia Yoabu, “Tuwaweke baadhi ya vijana wasimame, wapigane ana kwa ana mbele yetu.” Yoabu akasema, “Sawa, na wafanye hivyo.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Abneri akamwambia Yoabu, Tafadhali vijana hawa na waondoke na kucheza mbele yetu. Yoabu akasema, Haya! Na waondoke.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abneri akamwambia Yoabu, “Waruhusu vijana wapambane mbele yetu!” Yoabu akamjibu, “Sawa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Abneri akamwambia Yoabu, “Tuwaweke baadhi ya vijana wasimame na wapigane ana kwa ana mbele yetu.” Yoabu akasema, “Sawa, na wafanye hivyo.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Abneri akamwambia Yoabu, “Tuwaweke baadhi ya vijana wasimame na wapigane ana kwa ana mbele yetu.” Yoabu akasema, “Sawa, na wafanye hivyo.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Abneri akamwambia Yoabu, Tafadhali vijana hawa na waondoke na kucheza mbele yetu. Yoabu akasema, Haya! Na waondoke.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abneri akamwambia Yoabu, “Waruhusu vijana wapambane mbele yetu!” Yoabu akamjibu, “Sawa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Abineri akamwambia Yoabu: Na waondokee vijana, wacheze mbele yetu! Yoabu akaitikia: Haya! Na waondokee!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Abneri akamwambia Yoabu, Tafadhali vijana hawa na waondoke na kucheza mbele yetu. Yoabu akasema, Haya! Na waondoke.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abeneri akamwambia Yoabu: “Uwaruhusu vijana wapigane mbele yetu!” Yoabu akamujibu: “Sawa.”