2 Samuel 2:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vita vya siku hiyo vilikuwa vikali. Abneri na watu wa Israeli walipigwa vibaya na watu wa Daudi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku hiyo vita vilikuwa vikali sana, naye Abneri na Waisraeli wakashindwa na watumishi wa Daudi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Vita vile vilikuwa vikali sana siku ile; naye Abneri akashindwa, na watu wa Israeli, mbele ya watumishi wa Daudi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vita vya siku hiyo vilikuwa vikali. Abneri na watu wa Israeli walipigwa vibaya na watu wa Daudi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku hiyo vita vilikuwa vikali sana, naye Abneri na watu wa Israeli wakashindwa na watu wa Daudi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku hiyo vita vilikuwa vikali sana, naye Abneri na watu wa Israeli wakashindwa na watu wa Daudi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Vita vile vilikuwa vikali sana siku ile; naye Abneri akashindwa, na watu wa Israeli, mbele ya watumishi wa Daudi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vita vya siku hiyo vilikuwa vikali. Abneri na watu wa Israeli walipigwa vibaya na watu wa Daudi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mapigano yakawa makali sanasana siku hiyo, Abineri na watu wa Waisiraeli wakashindwa na watumishi wake Dawidi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Vita vile vilikuwa vikali sana siku ile; naye Abneri akashindwa, na watu wa Israeli, mbele ya watumishi wa Daudi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vita ya siku hiyo ilikuwa kali. Abeneri na watu wa Israeli walipigwa vibaya na watu wa Daudi.