2 Samuel 2:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wana watatu wa Seruya: Yoabu, Abishai na Asaheli walikuwapo hapo. Asaheli alikuwa na mbio kama paa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana watatu wa Seruya walikuwa huko: Yoabu, Abishai na Asaheli. Basi huyo Asaheli alikuwa na mbio kama paa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana watatu wa Seruya walikuwako huko, Yoabu, na Abishai, na Asaheli; na Asaheli alikuwa mwepesi wa miguu kama kulungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wana watatu wa Seruya: Yoabu, Abishai na Asaheli walikuwapo hapo. Asaheli alikuwa na mbio kama paa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana watatu wa Seruya walikuwako huko: nao ni Yoabu, Abishai na Asaheli. Basi huyo Asaheli alikuwa na mbio kama paa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana watatu wa Seruya walikuwako huko: nao ni Yoabu, Abishai na Asaheli. Basi huyo Asaheli alikuwa na mbio kama paa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana watatu wa Seruya walikuwako huko, Yoabu, na Abishai, na Asaheli; na Asaheli alikuwa mwepesi wa miguu kama kulungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wana watatu wa Seruya: Yoabu, Abishai na Asaheli walikuwapo hapo. Asaheli alikuwa na mbio kama paa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakawako wana watatu wa Seruya, Yoabu na Abisai na Asaheli; naye Asaheli alikuwa mwepesi kwa kupiga mbio kama paa wanaokaa porini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana watatu wa Seruya walikuwako huko, Yoabu, na Abishai, na Asaheli; na Asaheli alikuwa mwepesi wa miguu kama kulungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana watatu wa Zeruya, Yoabu, Abisayi na Asaeli walikuwa pale pale. Asaeli alikuwa na mbio kama paa.