2 Samuel 2:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abneri alipoangalia nyuma na kumwona Asaheli, alimwambia, “Je, ni wewe Asaheli?” Yeye akamjibu, “Naam, ni mimi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Abneri akaangalia nyuma na kumuuliza, “Ni wewe, Asaheli?” Akamjibu, “Ndiyo.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Abneri akatazama nyuma yake, akasema, Ni wewe, Asaheli? Akajibu, Ni mimi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abneri alipoangalia nyuma na kumwona Asaheli, alimwambia, “Je, ni wewe Asaheli?” Yeye akamjibu, “Naam, ni mimi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Abneri akaangalia nyuma na kumwuliza, “Ni wewe, Asaheli?” Akamjibu, “Ndiyo.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Abneri akaangalia nyuma na kumuuliza, “Ni wewe, Asaheli?” Akamjibu, “Ndiyo.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Abneri akatazama nyuma yake, akasema, Ni wewe, Asaheli? Akajibu, Ni mimi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abneri alipoangalia nyuma na kumwona Asaheli, alimwambia, “Je, ni wewe Asaheli?” Yeye akamjibu, “Naam, ni mimi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Abineri akageuka nyuma, akamwuliza: Wewe siwe Asaheli? Akasema: Ndimi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Abneri akatazama nyuma yake, akasema, Ni wewe, Asaheli? Akajibu, Ni mimi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abeneri alipoangalia nyuma na kumwona Asaeli, alimwambia: “Ni wewe Asaeli?” Yeye akamujibu: “Kweli, ni mimi.”