2 Samuel 2:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliwachukua watu wake, kila mtu akiwa pamoja na jamaa yake; nao wakafanya makao yao katika miji iliyokuwa kandokando ya Hebroni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi akawachukua pia watu waliokuwa pamoja naye, kila mmoja na jamaa yake, nao wakaishi huko Hebroni na miji yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Daudi naye akawapandisha watu wake waliokuwa pamoja naye, kila mtu na watu wa nyumbani mwake; wakakaa katika miji ya Hebroni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliwachukua watu wake, kila mtu akiwa pamoja na jamaa yake; nao wakafanya makao yao katika miji iliyokuwa kandokando ya Hebroni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia Daudi akawachukua watu waliokuwa pamoja naye, kila mmoja na jamaa yake, nao wakaishi huko Hebroni na miji yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia Daudi akawachukua watu waliokuwa pamoja naye, kila mmoja na jamaa yake, nao wakaishi huko Hebroni na miji yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Daudi naye akawapandisha watu wake waliokuwa pamoja naye, kila mtu na watu wa nyumbani mwake; wakakaa katika miji ya Hebroni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliwachukua watu wake, kila mtu akiwa pamoja na jamaa yake; nao wakafanya makao yao katika miji iliyokuwa kandokando ya Hebroni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wale watu waliokuwa naye Dawidi akawapandisha kila mtu na mlango wake, wakakaa katika miji ya Heburoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Daudi naye akawapandisha watu wake waliokuwa pamoja naye, kila mtu na watu wa nyumbani mwake; wakakaa katika miji ya Hebroni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliwapeleka watu wake, kila mutu akiwa pamoja na jamaa yake; nao wakafanya makao yao katika miji iliyokuwa kandokando ya Hebroni.