2 Samuel 2:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yoabu aliporudi kutoka kumfuatia Abneri, aliwakusanya watu wake wote, akagundua kuwa watumishi kumi na tisa wa Daudi walikosekana, licha ya Asaheli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Yoabu akarudi kutoka kumfuatia Abneri, na kuwakusanya watu wake wote. Pamoja na Asaheli, watumishi kumi na tisa wa Daudi walikuwa wamepotea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akarudi Yoabu naye kutoka kumfuatia Abneri; na alipokwisha kuwakusanya watu wote pamoja, wa hao watumishi wa Daudi walipungukiwa na watu kumi na kenda pamoja na Asaheli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yoabu aliporudi kutoka kumfuatia Abneri, aliwakusanya watu wake wote, akagundua kuwa watumishi kumi na tisa wa Daudi walikosekana, licha ya Asaheli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Yoabu akarudi kutoka kumfuatia Abneri, na kuwakusanya watu wake wote. Pamoja na Asaheli, watu kumi na tisa wa Daudi walikuwa wamepotea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Yoabu akarudi kutoka kumfuatia Abneri, na kuwakusanya watu wake wote. Pamoja na Asaheli, watu kumi na tisa wa Daudi walikuwa wamepotea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akarudi Yoabu naye kutoka kumfuatia Abneri; na alipokwisha kuwakusanya watu wote pamoja, wa hao watumishi wa Daudi walipungukiwa na watu kumi na tisa pamoja na Asaheli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yoabu aliporudi kutoka kumfuatia Abneri, aliwakusanya watu wake wote, akagundua kuwa watumishi kumi na tisa wa Daudi walikosekana, licha ya Asaheli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yoabu naye akarudi, akaacha kumfuata Abineri, akawakusanya watu wake wote; ndipo, ilipoonekana kwa watumishi wa Dawidi, ya kuwa watu 19 hawako, tena Asaheli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akarudi Yoabu naye kutoka kumfuatia Abneri; na alipokwisha kuwakusanya watu wote pamoja, wa hao watumishi wa Daudi walipungukiwa na watu kumi na kenda pamoja na Asaheli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoabu aliporudi kutoka kumufuatilia Abeneri, aliwakusanya watu wake wote, akagundua kwamba watumishi kumi na tisa wa Daudi walikosekana, bila kuhesabu Asaeli.