2 Samuel 2:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini watumishi wa Daudi walikuwa wamewaua watu 360 kutoka kabila la Benyamini pamoja na watu wa Abneri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini watumishi wa Daudi walikuwa wamewaua Wabenyamini mia tatu na sitini waliokuwa pamoja na Abneri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ila watumishi wa Daudi walikuwa wamewapiga watu wa Benyamini, na watu wa Abneri, hata wakafa watu mia tatu na sitini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini watumishi wa Daudi walikuwa wamewaua watu 360 kutoka kabila la Benyamini pamoja na watu wa Abneri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini watu wa Daudi walikuwa wamewaua watu wa kabila la Benyamini 360 waliokuwa pamoja na Abneri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini watu wa Daudi walikuwa wamewaua watu wa kabila la Benyamini 360 waliokuwa pamoja na Abneri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ila watumishi wa Daudi walikuwa wamewapiga watu wa Benyamini, na watu wa Abneri, hata wakafa watu mia tatu na sitini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini watumishi wa Daudi walikuwa wamewaua watu 360 kutoka kabila la Benyamini pamoja na watu wa Abneri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini watumishi wa Dawidi walipiga kwao Wabenyamini na kwa watu wa Abineri watu 360; ndio waliokufa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ila watumishi wa Daudi walikuwa wamewapiga watu wa Benyamini, na watu wa Abneri, hata wakafa watu mia tatu na sitini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini watumishi wa Daudi walikuwa wamewaua watu mia tatu makumi sita kutoka kabila la Benjamina pamoja na watu wa Abeneri.