2 Samuel 2:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yoabu na watu wake waliuchukua mwili wa Asaheli, wakauzika kwenye kaburi la baba yake, lililoko huko Bethlehemu. Yoabu na watu wake walitembea usiku kucha, na kulipokucha wakafika mjini Hebroni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakamchukua Asaheli, wakamzika katika kaburi la baba yake huko Bethlehemu. Kisha Yoabu na vijana wake wakatembea usiku kucha na kufika huko Hebroni wakati wa mapambazuko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakamwinua Asaheli, wakamzika katika kaburi la baba yake, lililokuwako Bethlehemu. Yoabu na watu wake wakaenda usiku kucha, wakapambazukiwa huko Hebroni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yoabu na watu wake waliuchukua mwili wa Asaheli, wakauzika kwenye kaburi la baba yake, lililoko huko Bethlehemu. Yoabu na watu wake walitembea usiku kucha, na kulipokucha wakafika mjini Hebroni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakamchukua Asaheli, wakamzika katika kaburi la baba yake huko Bethlehemu. Kisha Yaobu na watu wake wakatembea usiku kucha na kufika huko Hebroni wakati wa mapambazuko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakamchukua Asaheli, wakamzika katika kaburi la baba yake huko Bethlehemu. Kisha Yoabu na watu wake wakatembea usiku kucha na kufika huko Hebroni wakati wa mapambazuko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakamchukua Asaheli, wakamzika katika kaburi la baba yake, lililokuwako Bethlehemu. Yoabu na watu wake wakaenda usiku kucha, wakapambazukiwa huko Hebroni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yoabu na watu wake waliuchukua mwili wa Asaheli, wakauzika kwenye kaburi la baba yake, lililoko huko Bethlehemu. Yoabu na watu wake walitembea usiku kucha, na kulipokucha wakafika mjini Hebroni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakamchukua Asaheli, wakamzika katika kaburi la baba yake lililoko Beti-Lehemu; kisha Yoabu na watu wake wakaenda usiku kucha, nao walipofika Heburoni, kukapambazuka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakamwinua Asaheli, wakamzika katika kaburi la baba yake, lililokuwako Bethlehemu. Yoabu na watu wake wakaenda usiku kucha, wakapambazukiwa huko Hebroni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoabu na watu wake walipeleka mwili wa Asaeli, wakauzika kwenye kaburi la baba yake, linalokuwa kule Betelehemu. Yoabu na watu wake walitembea usiku kucha, na kulipokucha wakafika katika muji wa Hebroni.