2 Samuel 2:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
aliwatuma watu huko Yabesh-gileadi na ujumbe: “Mwenyezi-Mungu na awabariki kwa maana mlionesha utii wenu kwa Shauli, bwana wenu, kwa kumzika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
akatuma wajumbe kwa wanaume wa Yabesh-Gileadi, kuwaambia, “Mwenyezi Mungu awabariki kwa kuonesha wema huu kwa kumzika Sauli bwana wenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Daudi akatuma wajumbe kwa watu wa Yabesh-gileadi, na kuwaambia, Na mbarikiwe ninyi na Bwana, kwa kuwa mmemtendea bwana wenu fadhili hii, yaani Sauli, mkamzika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
aliwatuma watu huko Yabesh-gileadi na ujumbe: “Mwenyezi-Mungu na awabariki kwa maana mlionesha utii wenu kwa Shauli, bwana wenu, kwa kumzika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
akatuma wajumbe kwa watu wa Yabeshi-Gileadi kuwaambia, “BWANA awabariki kwa kuonyesha wema huu kwa kumzika Sauli bwana wenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
akatuma wajumbe kwa watu wa Yabeshi-Gileadi kuwaambia, “ bwana awabariki kwa kuonyesha wema huu kwa kumzika Sauli bwana wenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Daudi akatuma wajumbe kwa watu wa Yabesh-gileadi, na kuwaambia, Na mbarikiwe ninyi na BWANA, kwa kuwa mmemtendea bwana wenu fadhili hii, yaani Sauli, mkamzika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
aliwatuma watu huko Yabesh-gileadi na ujumbe: “Mwenyezi-Mungu na awabariki kwa maana mlionesha utii wenu kwa Shauli, bwana wenu, kwa kumzika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi akatuma wajumbe kwa watu wa Yabesi wa Gileadi, akawaambia: Na mbarikiwe na Bwana ninyi, kwa kuwa bwana wenu Sauli mmemfanyizia tendo lililo jema la kumzika!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Daudi akatuma wajumbe kwa watu wa Yabesh-gileadi, na kuwaambia, Na mbarikiwe ninyi na BWANA, kwa kuwa mmemtendea bwana wenu fadhili hii, yaani Sauli, mkamzika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
aliwatuma watu kule Yabesi-Gileadi na ujumbe: “Yawe awabariki kwa maana mulitendea bwana wenu Saulo mema kwa kumuzika.