2 Samuel 2:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huko, Abneri akamtawaza Ishboshethi kuwa mfalme wa nchi ya Gileadi, Ashuru, Yezreeli, Efraimu na Benyamini na Israeli yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akamweka awe mfalme juu ya nchi ya Gileadi, Waasheri, Yezreeli, Efraimu, Benyamini na Israeli yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akamweka awe mfalme juu ya Gileadi, na Waasheri, na Yezreeli, na Efraimu, na Benyamini, na juu ya Israeli wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huko, Abneri akamtawaza Ishboshethi kuwa mfalme wa nchi ya Gileadi, Ashuru, Yezreeli, Efraimu na Benyamini na Israeli yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akamweka awe mfalme juu ya nchi ya Gileadi, Ashuri, Yezreeli, Efraimu, Benyamini na Israeli yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akamweka awe mfalme juu ya nchi ya Gileadi, Waasheri, Yezreeli, Efraimu, Benyamini na Israeli yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akamweka awe mfalme wa Gileadi, na Waasheri, na Yezreeli, na Efraimu, na Benyamini, na juu ya Israeli wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huko, Abneri akamtawaza Ishboshethi kuwa mfalme wa nchi ya Gileadi, Ashuru, Yezreeli, Efraimu na Benyamini na Israeli yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akamfanya kuwa mfalme wa Gileadi na wa Asuri na wa Izireeli na wa Efuraimu na wa Benyamini na wa Waisiraeli wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akamweka awe mfalme juu ya Gileadi, na Waasheri, na Yezreeli, na Efraimu, na Benyamini, na juu ya Israeli wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kule, Abeneri akamusimika Isiboseti kuwa mufalme wa inchi ya Gileadi, Asheri, Yezereheli, Efuraimu na Benjamina na Israeli yote.