2 Samuel 20:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu mmoja wa Yoabu akaja akasimama karibu na mwili wa Amasa, akasema, “Yeyote anayempenda Yoabu na yeyote anayempenda Daudi, na amfuate Yoabu!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mmoja wa watu wa Yoabu akasimama kando ya Amasa, akasema, “Yeyote ampendaye Yoabu na yeyote aliye upande wa Daudi, na amfuate Yoabu!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasimama karibu naye mmojawapo wa vijana wa Yoabu, huyo akasema, Ampendaye Yoabu, na aliye wa Daudi, na amfuate Yoabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu mmoja wa Yoabu akaja akasimama karibu na mwili wa Amasa, akasema, “Yeyote anayempenda Yoabu na yeyote anayempenda Daudi, na amfuate Yoabu!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mmoja wa watu wa Yoabu akasimama kando ya Amasa, akasema, “Ye yote ampendaye Yoabu na ye yote aliye upande wa Daudi, na amfuate Yoabu!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mmoja wa watu wa Yoabu akasimama kando ya Amasa, akasema, “Yeyote ampendaye Yoabu na yeyote aliye upande wa Daudi, na amfuate Yoabu!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasimama karibu naye mmoja wa vijana wa Yoabu, huyo akasema, Ampendaye Yoabu, na aliye wa Daudi, na amfuate Yoabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu mmoja wa Yoabu akaja akasimama karibu na mwili wa Amasa, akasema, “Yeyote anayempenda Yoabu na yeyote anayempenda Daudi, na amfuate Yoabu!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mmoja wao vijana wa Yoabu akaja kusimama kwake Amasa na kusema: Apendezwaye na Yoabu, naye aliye upande wa Dawidi na amfuate Yoabu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasimama karibu naye mmojawapo wa vijana wa Yoabu, huyo akasema, Ampendaye Yoabu, na aliye wa Daudi, na amfuate Yoabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu mumoja wa Yoabu akakuja akasimama karibu na mwili wa Amasa, akasema: “Yeyote anayemupenda Yoabu na yeyote anayemupenda Daudi, amufuate Yoabu!”