2 Samuel 20:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Amasa alipoondolewa kwenye barabara kuu, watu wote sasa waliendelea kumfuata Yoabu kumfuatia Sheba mwana wa Bikri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya Amasa kuondolewa kutoka barabarani, watu wote walienda pamoja na Yoabu kumfuatia Sheba mwana wa Bikri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na alipoondolewa katika njia kuu, watu wote wakapita, wakamwandama Yoabu ili kumfuatia Sheba, mwana wa Bikri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Amasa alipoondolewa kwenye barabara kuu, watu wote sasa waliendelea kumfuata Yoabu kumfuatia Sheba mwana wa Bikri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya Amasa kuondolewa kutoka barabarani, watu wote walienda pamoja na Yoabu kumfuatia Sheba mwana wa Bikri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya Amasa kuondolewa kutoka barabarani, watu wote walienda pamoja na Yoabu kumfuatia Sheba mwana wa Bikri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na alipoondolewa katika njia kuu, watu wote wakapita, wakamwandama Yoabu ili kumfuatia Sheba, mwana wa Bikri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Amasa alipoondolewa kwenye barabara kuu, watu wote sasa waliendelea kumfuata Yoabu kumfuatia Sheba mwana wa Bikri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipokwisha kumwondoa hapo barabarani, watu wote wakapapita tu, waende kumfuata Yoabu, wamfukuze Seba, mwana wa Bikri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na alipoondolewa katika njia kuu, watu wote wakapita, wakamwandama Yoabu ili kumfuatia Sheba, mwana wa Bikri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Amasa alipoondolewa kwenye barabara kubwa, watu wote sasa waliendelea kumufuata Yoabu kwa kumufuatilia Seba mwana wa Bikiri.