2 Samuel 20:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sheba alipitia katika makabila yote ya Israeli mpaka mji wa Abeli wa Beth-maaka. Watu wote wa ukoo wa Bikri wakakusanyika na kumfuata.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sheba akapita katika makabila yote ya Israeli hadi Abel-Beth-Maaka na kupitia eneo lote la Waberi ambao walikusanyika na kumfuata.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akapita kati ya kabila zote za Israeli mpaka Abeli, na kwa Bethmaaka na Wabikri wote; nao wakakusanyika, wakaenda pia kumwandama.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sheba alipitia katika makabila yote ya Israeli mpaka mji wa Abeli wa Beth-maaka. Watu wote wa ukoo wa Bikri wakakusanyika na kumfuata.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sheba akapita katika makabila yote ya Israeli hadi Abeli ya Beth-Maaka na kupitia eneo lote la Wabikri ambao walijikusanya pamoja na kumfuata.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sheba akapita katika makabila yote ya Israeli hadi Abel-Beth-Maaka na kupitia eneo lote la Waberi ambao walijikusanya pamoja na kumfuata.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akapita kati ya kabila zote za Israeli mpaka Abeli, na kwa Bethmaaka na Wabikri wote; nao wakakusanyika, wakaenda pia kumwandama.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sheba alipitia katika makabila yote ya Israeli mpaka mji wa Abeli wa Beth-maaka. Watu wote wa ukoo wa Bikri wakakusanyika na kumfuata.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huyo akapita kwa mashina yote ya Waisiraeli mpaka Abeli na Beti-Maka nao Haberimu wote; ndipo, watu walipokusanyika, wakaja kufuatana naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akapita kati ya kabila zote za Israeli mpaka Abeli, na kwa Bethmaaka na Wabikri wote; nao wakakusanyika, wakaenda pia kumwandama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Seba alipita katika makabila yote ya Israeli mpaka katika muji wa Abeli wa Beti-Maka. Watu wote wa ukoo wa Bikiri wakakusanyika na kumufuata.