2 Samuel 20:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yoabu akaenda karibu naye, huyo mwanamke akamwambia, “Je, wewe ni Yoabu?” Yoabu akasema, “Naam! Ni mimi.” Yule mwanamke akamwambia, “Nisikilize mimi mtumishi wako.” Yoabu akamwambia, “Nasikiliza.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yoabu alienda mbele yake, akamuuliza, “Wewe ni Yoabu?” Akamjibu, “Ndiye mimi.” Yule mwanamke akamwambia, “Sikiliza kile mtumishi wako atakachokuambia.” Akamwambia, “Ninasikiliza.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi akamkaribia; na yule mwanamke akasema, Ndiwe Yoabu? Akajibu, Ndimi. Ndipo akamwambia Sikia maneno ya mjakazi wako. Akajibu, Mimi nasikia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yoabu akaenda karibu naye, huyo mwanamke akamwambia, “Je, wewe ni Yoabu?” Yoabu akasema, “Naam! Ni mimi.” Yule mwanamke akamwambia, “Nisikilize mimi mtumishi wako.” Yoabu akamwambia, “Nasikiliza.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yoabu alikwenda mbele yake, akamwuliza, “Wewe ni Yoabu?” Akamjibu, “Mimi ndiye.” Yule mwanamke akamwambia, “Sikiliza kile mtumishi wako atakachokuambia.” Akamwambia, “Ninasikiliza.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yoabu alikwenda mbele yake, akamuuliza, “Wewe ni Yoabu?” Akamjibu, “Ndiye mimi.” Yule mwanamke akamwambia, “Sikiliza kile mtumishi wako atakachokuambia.” Akamwambia, “Ninasikiliza.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi akamkaribia; na yule mwanamke akasema, Ndiwe Yoabu? Akajibu, Ndimi. Ndipo akamwambia Sikia maneno ya mjakazi wako. Akajibu, Mimi nasikia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yoabu akaenda karibu naye, huyo mwanamke akamwambia, “Je, wewe ni Yoabu?” Yoabu akasema, “Naam! Ni mimi.” Yule mwanamke akamwambia, “Nisikilize mimi mtumishi wako.” Yoabu akamwambia, “Nasikiliza.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yoabu alipofika karibu yake, yule mwanamke akamwuliza: Wewe ndiwe Yoabu? Aliposema: Ndimi, akamwambia: Yasikilize maneno ya kijakazi wako! Akasema: Mimi nitayasikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi akamkaribia; na yule mwanamke akasema, Ndiwe Yoabu? Akajibu, Ndimi. Ndipo akamwambia Sikia maneno ya mjakazi wako. Akajibu, Mimi nasikia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoabu akaenda karibu naye, huyo mwanamuke akamwambia: “Wewe ndiwe Yoabu?” Yoabu akasema: “Ndiyo! Ni mimi.” Yule mwanamuke akamwambia: “Unisikilize mimi mujakazi wako.” Yoabu akamwambia: “Ninasikiliza.”