2 Samuel 20:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huyo mwanamke akamwambia, “Hapo kale watu walikuwa wakisema, ‘Waacheni watake shauri kutoka mji wa Abeli’. Ndivyo watu walivyoweza kutatua matatizo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huyo mwanamke akaendelea kusema, “Zamani za kale walikuwa wakisema, ‘Wakaulize ushauri huko Abeli,’ hivyo kulimaliza lile shauri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akanena, akisema, Watu hunena zamani za kale, wakisema, Wasikose kuuliza huko Abeli; ndivyo walivyomaliza shauri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huyo mwanamke akamwambia, “Hapo kale watu walikuwa wakisema, ‘Waacheni watake shauri kutoka mji wa Abeli’. Ndivyo watu walivyoweza kutatua matatizo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huyo mwanamke akaendelea kusema, “Zamani za kale walikuwa wakisema, ‘Wakaulize ushauri huko Abeli,’ hivyo kulimaliza lile shauri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huyo mwanamke akaendelea kusema, “Zamani za kale walikuwa wakisema, ‘Wakaulize ushauri huko Abeli,’ hivyo kulimaliza lile shauri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akanena, akisema, Watu hunena tangu zamani za kale, wakisema, Wasikose kuuliza huko Abeli; ndivyo walivyoleta suluhu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huyo mwanamke akamwambia, “Hapo kale watu walikuwa wakisema, ‘Waacheni watake shauri kutoka mji wa Abeli’. Ndivyo watu walivyoweza kutatua matatizo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akasema kwamba: Kale watu husema kwamba: Waulizeni watu wa Abeli! Ndivyo, walivyoyamaliza mashauri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akanena, akisema, Watu hunena zamani za kale, wakisema, Wasikose kuuliza huko Abeli; ndivyo walivyomaliza shauri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule mwanamuke akamwambia: “Zamani watu walikuwa wakisema: ‘Muache waombe shauri kutoka muji wa Abeli’. Ndivyo watu walivyoweza kutatua matatizo.