2 Samuel 20:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Adoramu alikuwa msimamizi wa kazi za kulazimishwa; Yehoshafati alikuwa mwandishi wa kumbukumbu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Adoramu alikuwa kiongozi wa wale waliofanya kazi ya kulazimishwa; Yehoshafati mwana wa Ahiludi aliweka kumbukumbu;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Adoramu alikuwa juu ya shokoa; na Yehoshafati, mwana wa Ahiludi, alikuwa mkumbushi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Adoramu alikuwa msimamizi wa kazi za kulazimishwa; Yehoshafati alikuwa mwandishi wa kumbukumbu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Adoramu alikuwa kiongozi wa wale waliofanya kazi ya kulazimishwa; Yehoshafati mwana wa Ahiludi alikuwa mweka kumbukumbu;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Adoramu alikuwa kiongozi wa wale waliofanya kazi ya kulazimishwa; Yehoshafati mwana wa Ahiludi alikuwa mweka kumbukumbu;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Adoramu alikuwa akiwaongoza Shokoa; na Yehoshafati, mwana wa Ahiludi, alikuwa mwekaji kumbukumbu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Adoramu alikuwa msimamizi wa kazi za kulazimishwa; Yehoshafati alikuwa mwandishi wa kumbukumbu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Adoramu alikuwa mkuu wa kazi za nguvu, naye Yosafati, mwana wa Ahiludi, alikuwa mwandishi wa mambo yaliyopasa kukumbukwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Adoramu alikuwa juu ya shokoa; na Yehoshafati, mwana wa Ahiludi, alikuwa mkumbushi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Adoramu alikuwa musimamizi wa kazi za kulazimishwa. Yeosafati alikuwa mwandishi wa habari za kifalme.