2 Samuel 21:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi aliposikia yale aliyofanya Rispa binti Aya, suria wa Shauli,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi alipoambiwa kile Rispa binti Aya, suria wa Sauli, alichokuwa amekifanya,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akaambiwa Daudi hayo aliyoyafanya huyo Rispa binti Aya, suria wa Sauli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi aliposikia yale aliyofanya Rispa binti Aya, suria wa Shauli,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi alipoambiwa kile Rispa binti Ahiya, suria wa Sauli, alichokuwa amekifanya,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi alipoambiwa kile Rispa binti Aiya, suria wa Sauli, alichokuwa amekifanya,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Daudi akaambiwa hayo aliyoyafanya huyo Rispa binti Aya, suria wa Sauli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi aliposikia yale aliyofanya Rispa binti Aya, suria wa Shauli,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi alipopashwa habari za mambo hayo, Risipa, binti Aya, suria yake Sauli, aliyoyafanya,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akaambiwa Daudi hayo aliyoyafanya huyo Rispa binti Aya, suria wa Sauli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi alisikia yale Risipa binti ya Aya, habara ya Saulo aliyofanya.