2 Samuel 21:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Daudi akairudisha mifupa ya Shauli na Yonathani mwanawe kutoka huko; halafu wakakusanya mifupa ya vijana saba waliotundikwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi akaileta mifupa ya Sauli na ya mwanawe Yonathani kutoka huko, pia mifupa ya wale waliokuwa wameuawa na kutupwa ilikusanywa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
naye akaileta toka huko hiyo mifupa ya Sauli, na mifupa ya Yonathani mwanawe; nao wakaizoa mifupa yao waliotundikwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Daudi akairudisha mifupa ya Shauli na Yonathani mwanawe kutoka huko; halafu wakakusanya mifupa ya vijana saba waliotundikwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi akaileta mifupa ya Sauli na ya mwanawe Yonathani kutoka huko, pia mifupa ya wale ambao walikuwa wameuawa na kutupwa ilikusanywa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi akaileta mifupa ya Sauli na ya mwanawe Yonathani kutoka huko, pia mifupa ya wale waliokuwa wameuawa na kutupwa ilikusanywa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
naye akaileta toka huko hiyo mifupa ya Sauli, na mifupa ya Yonathani mwanawe; nao wakaizoa mifupa yao waliotundikwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Daudi akairudisha mifupa ya Shauli na Yonathani mwanawe kutoka huko; halafu wakakusanya mifupa ya vijana saba waliotundikwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipoichukua huko mifupa ya Sauli na mifupa ya mwanawe Yonatani, wakaikusanya nayo mifupa yao hao walionyongwa,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
naye akaileta toka huko hiyo mifupa ya Sauli, na mifupa ya Yonathani mwanawe; nao wakaizoa mifupa yao waliotundikwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi akairudisha mifupa ya Saulo na ya mwana wake Yonatani kutoka kule; na kisha wakakusanya mifupa ya vijana saba waliotundikwa.