2 Samuel 21:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ishbi-benobu, mmojawapo wa wazawa wa majitu ambaye mkuki wake wa shaba ulikuwa na uzito wa karibu kilo tatu na nusu na aliyekuwa amejifunga upanga mpya alisema atamuua Daudi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye Ishbi-Benobu, mmoja wa wazao wa Warefai, ambaye mkuki wake ulikuwa na uzito wa shekeli mia tatu za shaba, alikuwa amejifunga upanga mpya, naye akasema atamuua Daudi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Ishi-benobu, aliyekuwa mmojawapo wa Warefai,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ishbi-benobu, mmojawapo wa wazawa wa majitu ambaye mkuki wake wa shaba ulikuwa na uzito wa karibu kilo tatu na nusu na aliyekuwa amejifunga upanga mpya alisema atamuua Daudi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye Ishbi-Benobu, mmoja wa wazao wa Warefai, ambaye mkuki wake ulikuwa na uzito wa shekeli 300 za shaba, alikuwa amejifunga upanga mpya, naye alisema angemwua Daudi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye Ishbi-Benobu, mmoja wa wazao wa Warefai, ambaye mkuki wake ulikuwa na uzito wa shekeli 300 za shaba, alikuwa amejifunga upanga mpya, naye alisema angemuua Daudi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Ishi-benobu, aliyekuwa mmoja wa Warefai, ambaye uzito wa mkuki wake ulikuwa shekeli mia tatu za shaba kwa uzani, naye amejifungia upanga mpya, alijaribu kumwua Daudi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ishbi-benobu, mmojawapo wa wazawa wa majitu ambaye mkuki wake wa shaba ulikuwa na uzito wa karibu kilo tatu na nusu na aliyekuwa amejifunga upanga mpya alisema atamuua Daudi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, alipotokea Isibi-Benobu aliyekuwa mmoja wao yale Majitu marefu; huyu alikuwa na mkuki wenye ncha ya shaba, nayo ilipopimwa, uzito wake ulikuwa sekeli 300, ndio nusu ya frasila; naye alikuwa amejifunga mata mapya, akataka kumwua Dawidi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Ishi-benobu, aliyekuwa mmojawapo wa Warefai, ambaye uzito wa mkuki wake ulikuwa shekeli mia tatu za shaba kwa uzani, naye amejifungia upanga mpya, alijaribu kumwua Daudi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Isibi-Benobi, mutu mumoja wa wazao wa majitu ambaye mukuki wake wa shaba ulikuwa na uzito wa karibu kilo tatu na nusu na aliyekuwa amejifungia upanga mupya, alisema atamwua Daudi.