2 Samuel 21:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baadaye kulitokea tena vita huko Gathi ambako kulikuwa na mtu mmoja alikuwa mkubwa kwa kimo, na mwenye vidole sita katika kila mkono, na vidole sita katika kila mguu, jumla yake vidole ishirini na vinne. Yeye pia alikuwa mzawa wa majitu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika vita vingine tena, vilivyopiganwa huko Gathi, kulikuwa na mtu mmoja mkubwa mwenye vidole sita katika kila mkono, na vidole sita kila mguu: jumla vidole ishirini na vinne. Yeye alikuwa pia mzao wa Mrefai.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kulikuwa na vita tena huko Gathi; ambako kulikuwa na mtu mrefu sana, mwenye vidole sita katika kila mkono, na vidole sita katika kila mguu, jumla yake ishirini na vinne; yeye naye alizaliwa kwa Mrefai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baadaye kulitokea tena vita huko Gathi ambako kulikuwa na mtu mmoja alikuwa mkubwa kwa kimo, na mwenye vidole sita katika kila mkono, na vidole sita katika kila mguu, jumla yake vidole ishirini na vinne. Yeye pia alikuwa mzawa wa majitu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika vita vingine tena, vilivyopiganwa huko Gathi, kulikuwako jitu kubwa sana refu lililokuwa na vidole sita katika kila mkono na vidole sita kila mguu, jumla vidole ishirini na vinne. Vile vile alikuwa mzao wa Warefai.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika vita vingine tena, vilivyopiganwa huko Gathi, kulikuwako na mtu mmoja mkubwa mwenye vidole sita katika kila mkono na vidole sita kila mguu, jumla vidole ishirini na vinne. Yeye alikuwa pia mzao wa Mrefai.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kulikuwa na vita tena huko Gathi; ambako kulikuwa na mtu mrefu sana, mwenye vidole sita katika kila mkono, na vidole sita katika kila mguu, jumla yake ishirini na vinne; yeye naye alizaliwa kwa Mrefai.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baadaye kulitokea tena vita huko Gathi ambako kulikuwa na mtu mmoja alikuwa mkubwa kwa kimo, na mwenye vidole sita katika kila mkono, na vidole sita katika kila mguu, jumla yake vidole ishirini na vinne. Yeye pia alikuwa mzawa wa majitu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha yakawa mapigano tena kule Gati; huko kulikuwa na mtu mrefu sana, vidole vya mikono yake na vidole vya miguu yake vilikuwa sita sita, vyote pamoja ni 24, naye alikuwa amezaliwa kwao yale Majitu marefu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kulikuwa na vita tena huko Gathi; ambako kulikuwa na mtu mrefu sana, mwenye vidole sita katika kila mkono, na vidole sita katika kila mguu, jumla yake ishirini na vinne; yeye naye alizaliwa kwa Mrefai.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha kulitokea tena vita kule Gati ambako kulikuwa na mutu mumoja alikuwa murefu sana, na mwenye vidole sita katika kila mukono, na vidole sita katika kila muguu, jumla ya vidole vyake ilikuwa makumi mbili na ine. Yeye vilevile alikuwa wa uzao wa majitu.