2 Samuel 21:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hao wanne walikuwa wazawa wa majitu huko Gathi, nao waliuawa na Daudi pamoja na watumishi wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawa wanne walikuwa wazao wa Warefai huko Gathi, nao walianguka kwa mikono ya Daudi na watu wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao wanne walizaliwa kwake huyo Mrefai wa Gathi; wakaanguka kwa mkono wa Daudi, na kwa mikono ya watumishi wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hao wanne walikuwa wazawa wa majitu huko Gathi, nao waliuawa na Daudi pamoja na watumishi wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawa wanne walikuwa wazao wa Warefai katika Gathi, nao walianguka katika mikono ya Daudi na watu wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawa wanne walikuwa wazao wa Warefai huko Gathi, nao walianguka kwa mikono ya Daudi na watu wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao wanne walizaliwa kwake huyo Mrefai wa Gathi; wakaanguka kwa mkono wa Daudi, na kwa mikono ya watumishi wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hao wanne walikuwa wazawa wa majitu huko Gathi, nao waliuawa na Daudi pamoja na watumishi wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawa wanne walizaliwa Gati kwao yale Majitu marefu, wakauawa kwa mikono ya Dawidi na kwa mikono ya watumishi wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao wanne walizaliwa kwake huyo Mrefai wa Gathi; wakaanguka kwa mkono wa Daudi, na kwa mikono ya watumishi wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hao wane walikuwa wazao wa majitu kule Gati, nao waliuawa na Daudi pamoja na watumishi wake.