2 Samuel 21:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wao wakamwambia mfalme, “Shauli alikusudia kutuua sisi na kutuangamiza, asiache mtu wetu yeyote katika eneo lote la Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakamjibu mfalme, “Kwa habari ya mtu aliyetuangamiza na kupanga njama dhidi yetu ili tuangamizwe na tusiwe na yeyote katika Israeli,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamwambia mfalme, Yule mtu aliyetupoteza, na kutufanyia shauri la kutuharibu, tusikae katika mipaka yo yote ya Israeli,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wao wakamwambia mfalme, “Shauli alikusudia kutuua sisi na kutuangamiza, asiache mtu wetu yeyote katika eneo lote la Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakamjibu mfalme, “Kwa habari ya mtu aliyetuangamiza na kufanya hila mbaya dhidi yetu ili kwamba tuangamizwe na tusiwe na ye yote katika Israeli,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakamjibu mfalme, “Kwa habari ya mtu aliyetuangamiza na kufanya hila mbaya dhidi yetu ili kwamba tuangamizwe na tusiwe na yeyote katika Israeli,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamwambia mfalme, Yule mtu aliyetupoteza, na kutufanyia shauri la kutuharibu, tusikae katika mipaka yoyote ya Israeli,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wao wakamwambia mfalme, “Shauli alikusudia kutuua sisi na kutuangamiza, asiache mtu wetu yeyote katika eneo lote la Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakamwambia mfalme: Yule mtu aliyetumaliza kwa kutaka kutuangamiza kabisa, tusikae tena katika mipaka yote ya Waisiraeli,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamwambia mfalme, Yule mtu aliyetupoteza, na kutufanyia shauri la kutuharibu, tusikae katika mipaka yo yote ya Israeli,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wao wakamwambia mufalme: “Saulo alikusudia kutuua sisi na kutuangamiza kusipate kubakia mutu yeyote wetu popote katika eneo lolote la Israeli.