2 Samuel 21:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mfalme aliwachukua wana wawili ambao Rispa binti Ahiya alimzalia Shauli, Armoni na Mefiboshethi, pamoja na watoto wote watano wa kiume wa Mikali, binti Shauli ambao alimzalia Adrieli mwana wa Barzilai Mmeholathi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini mfalme akamchukua Armoni na Mefiboshethi, wana wawili wa Rispa binti Aya, ambao alikuwa amemzalia Sauli, pamoja na wana watano wa Merabu binti Sauli, aliokuwa amemzalia Adrieli mwana wa Barzilai, Mmeholathi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ila mfalme akawatwaa hao wana wawili wa Rispa, binti Aya, aliomzalia Sauli, Armoni na Mefiboshethi; na wana watano wa Merabu binti Sauli, aliomzalia Adrieli, mwana wa Barzilai, Mmeholathi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mfalme aliwachukua wana wawili ambao Rispa binti Ahiya alimzalia Shauli, Armoni na Mefiboshethi, pamoja na watoto wote watano wa kiume wa Mikali, binti Shauli ambao alimzalia Adrieli mwana wa Barzilai Mmeholathi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini mfalme akamchukua Armoni na Mefiboshethi, wana wawili wa Rispa binti Ahiya, ambao alikuwa amemzalia Sauli, pamoja na wana watano wa Merabu binti Sauli, aliokuwa amemzalia Adrieli mwana wa Barzilai, Mmeholathi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini mfalme akamchukua Armoni na Mefiboshethi, wana wawili wa Rispa binti Aiya, ambao alikuwa amemzalia Sauli, pamoja na wana watano wa Merabu binti Sauli, aliokuwa amemzalia Adrieli mwana wa Barzilai, Mmeholathi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ila mfalme akawatwaa hao wana wawili wa Rispa, binti Aya, aliomzalia Sauli, Armoni na Mefiboshethi; na wana watano wa Merabu binti Sauli, aliomzalia Adrieli, mwana wa Barzilai, Mmeholathi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mfalme aliwachukua wana wawili ambao Rispa binti Ahiya alimzalia Shauli, Armoni na Mefiboshethi, pamoja na watoto wote watano wa kiume wa Mikali, binti Shauli ambao alimzalia Adrieli mwana wa Barzilai Mmeholathi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo mfalme akachukua wana wawili wa Risipa, binti Aya, aliomzalia Sauli, ndio Armoni na Mefiboseti, na wana watano wa Mikali, binti Sauli aliomzalia Adirieli, mwana wa Barzilai wa Mehola.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ila mfalme akawatwaa hao wana wawili wa Rispa, binti Aya, aliomzalia Sauli, Armoni na Mefiboshethi; na wana watano wa Merabu binti Sauli, aliomzalia Adrieli, mwana wa Barzilai, Mmeholathi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mufalme aliwatwaa wana wawili ambao Risipa binti ya Ahiya alimuzalia Saulo, nao ni: Armoni na Mefiboseti. Aliwatwaa vilevile watoto wote watano wanaume wa Mikali binti ya Saulo ambao alimuzalia Adrieli mwana wa Barzilayi wa muji Mehola.