2 Samuel 22:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi alimwimbia Mwenyezi-Mungu maneno ya wimbo ufuatao siku ile Mwenyezi-Mungu alipomkomboa mikononi mwa adui zake, na mkononi mwa Shauli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi alimwimbia Mwenyezi Mungu maneno ya wimbo huu Mwenyezi Mungu alipomwokoa mikononi mwa adui zake wote, na pia mkononi mwa Sauli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Daudi akamwambia Bwana maneno ya wimbo huu, siku ile Bwana alipomwokoa mikononi mwa adui zake zote, na mkononi mwa Sauli;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi alimwimbia Mwenyezi-Mungu maneno ya wimbo ufuatao siku ile Mwenyezi-Mungu alipomkomboa mikononi mwa adui zake, na mkononi mwa Shauli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi akamwimbia BWANA maneno ya wimbo huu hapo BWANA alipomwokoa kutoka katika mkono wa adui zake wote, pia kutoka katika mkono wa Sauli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi alimwimbia bwana maneno ya wimbo huu wakati bwana alipomwokoa mikononi mwa adui zake wote, na pia mkononi mwa Sauli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Daudi akamwambia BWANA maneno ya wimbo huu, siku ile BWANA alipomwokoa mikononi mwa adui zake wote, na mkononi mwa Sauli;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi alimwimbia Mwenyezi-Mungu maneno ya wimbo ufuatao siku ile Mwenyezi-Mungu alipomkomboa mikononi mwa adui zake, na mkononi mwa Shauli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi akamwambia Bwana maneno ya wimbo huu, Bwana alipomponya mikononi mwa adui zake wote, namo mikononi mwa Sauli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Daudi akamwambia BWANA maneno ya wimbo huu, siku ile BWANA alipomwokoa mikononi mwa adui zake zote, na mkononi mwa Sauli;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi alimwimbia Yawe wimbo huu siku ile Yawe alipomukomboa toka katika mikono wa waadui zake, na toka katika mukono wa Saulo.