2 Samuel 22:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alipanda kiumbe chenye mabawa na kuruka, alionekana juu ya mabawa ya upepo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alipanda juu ya kerubi akaruka, akapaa juu kwa mabawa ya upepo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akapanda juu ya kerubi akaruka; Naam, alionekana juu ya mabawa ya upepo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alipanda kiumbe chenye mabawa na kuruka, alionekana juu ya mabawa ya upepo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alipanda juu ya kerubi akaruka, akapaa juu kwa mbawa za upepo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alipanda juu ya kerubi akaruka, akapaa juu kwa mbawa za upepo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akapanda juu ya kerubi akaruka; Naam, alionekana juu ya mabawa ya upepo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alipanda kiumbe chenye mabawa na kuruka, alionekana juu ya mabawa ya upepo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akapanda gari, nalo likarushwa, akaonekana mabawani mwa upepo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akapanda juu ya kerubi akaruka; Naam, alionekana juu ya mabawa ya upepo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alipanda juu ya kerubi na kuruka; akaruka juu ya mabawa ya upepo.