2 Samuel 22:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alijizungushia giza pande zote, kifuniko chake kilikuwa mawingu mazito na mkusanyiko wa maji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alifanya giza hema lake la kujifunika: mawingu meusi ya mvua ya angani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafanya giza hema zake za kumzunguka, Makusanyiko ya maji, mawingu makuu ya mbinguni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alijizungushia giza pande zote, kifuniko chake kilikuwa mawingu mazito na mkusanyiko wa maji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alifanya giza kuwa kitu chake cha kujifunika: mawingu meusi ya mvua ya angani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alifanya giza hema lake la kujifunika: mawingu meusi ya mvua ya angani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafanya giza hema zake za kumzunguka, Makusanyiko ya maji, mawingu makuu ya mbinguni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alijizungushia giza pande zote, kifuniko chake kilikuwa mawingu mazito na mkusanyiko wa maji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akatumia giza kuwa kao, limfunike pande zote, ndio mawingu yenye mvua kali na kimbunga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafanya giza hema zake za kumzunguka, Makusanyiko ya maji, mawingu makuu ya mbinguni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alijifunika giza pande zote; kifuniko chake kilikuwa mawingu mazito ya mvua.