2 Samuel 22:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umeme ulimulika mbele yake, kulilipuka makaa ya moto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutokana na mwanga wa uwepo wake mwanga wa radi ukatoka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Toka mwangaza uliokuwa mbele zake Makaa ya moto yakawashwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umeme ulimulika mbele yake, kulilipuka makaa ya moto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutokana na mng'ao wa uwepo wake mawingu yalisogea, ikanyesha mvua ya mawe na umeme wa radi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutokana na mwanga wa uwepo wake mawingu yalisogea, ikanyesha mvua ya mawe na umeme wa radi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Toka mwangaza uliokuwa mbele zake Makaa ya moto yakawashwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umeme ulimulika mbele yake, kulilipuka makaa ya moto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa nguvu ya kumulika mbele yake yakawashwa makaa ya moto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Toka mwangaza uliokuwa mbele zake Makaa ya moto yakawashwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umeme ulimetameta mbele yake, makaa ya moto yakawaka.