2 Samuel 22:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu alinguruma kutoka mbinguni, Mungu Mkuu akatoa sauti yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu alinguruma kutoka mbinguni, sauti ya Aliye Juu Sana ilisikika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana alipiga radi toka mbinguni, Naye Aliye juu akaitoa sauti yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu alinguruma kutoka mbinguni, Mungu Mkuu akatoa sauti yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA alinguruma kutoka mbinguni, sauti ya Aliye Juu Sana ilisikika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana alinguruma kutoka mbinguni, sauti ya Aliye Juu Sana ilisikika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA alipiga radi toka mbinguni, Naye Aliye Juu akaitoa sauti yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu alinguruma kutoka mbinguni, Mungu Mkuu akatoa sauti yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akapiga ngurumo kule mbinguni, Alioko huko juu akaivumisha sauti yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA alipiga radi toka mbinguni, Naye Aliye juu akaitoa sauti yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe alinguruma kutoka mbinguni; Mungu Mukubwa akatoa sauti yake.