2 Samuel 22:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliwalenga adui mishale, akawatawanya, alirusha umeme, akawatimua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aliipiga mishale na kutawanya adui, akawafukuza kwa umeme mkubwa wa radi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akapiga mishale, akawatawanya; Umeme, naye akawatapanya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliwalenga adui mishale, akawatawanya, alirusha umeme, akawatimua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aliipiga mishale akatawanya adui, umeme wa radi na kuwakimbiza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aliipiga mishale na kutawanya adui, umeme wa radi na kuwafukuza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akapiga mishale, akawatawanya; Umeme, naye akawatimua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliwalenga adui mishale, akawatawanya, alirusha umeme, akawatimua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipopiga mishale, akawatawanya, ngurumo zilipozidi, wakapigwa bumbuazi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akapiga mishale, akawatawanya; Umeme, naye akawatapanya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliwapiga waadui mishale, akawatawanya; alirusha umeme, akawakimbiza.