2 Samuel 22:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mungu alinyosha mkono wake toka juu, akanichukua, kutoka kwenye maji mengi alininyanyua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Alinyoosha mkono kutoka juu na kunishika; alinitoa kutoka kilindi cha maji makuu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Alipeleka kutoka juu, akanishika; Akanitoa katika maji mengi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mungu alinyosha mkono wake toka juu, akanichukua, kutoka kwenye maji mengi alininyanyua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Alinyoosha mkono kutoka juu na kunishika; alinitoa kutoka katika kilindi cha maji makuu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Alinyoosha mkono kutoka juu na kunishika; alinitoa kutoka kilindi cha maji makuu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Alipeleka kutoka juu, akanishika; Akanitoa katika maji mengi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mungu alinyosha mkono wake toka juu, akanichukua, kutoka kwenye maji mengi alininyanyua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akakunjua mkono toka juu, akanikamata, mle mlimo na maji mengi akanichopoa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alipeleka kutoka juu, akanishika; Akanitoa katika maji mengi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu alinyoosha mukono wake kutoka juu, akanitwaa, alininyanyua kutoka ndani ya maji mengi.