2 Samuel 22:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walinivamia nilipokuwa taabuni, lakini Mwenyezi-Mungu alikuwa kinga yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walinikabili siku ya msiba wangu, lakini Mwenyezi Mungu alikuwa msaada wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walinikabili siku ya msiba wangu; Lakini Bwana alikuwa tegemeo langu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walinivamia nilipokuwa taabuni, lakini Mwenyezi-Mungu alikuwa kinga yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walinikabili katika siku ya msiba wangu, lakini BWANA alikuwa msaada wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walinikabili siku ya msiba wangu, lakini bwana alikuwa msaada wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walinikabili siku ya msiba wangu; Lakini BWANA alikuwa tegemeo langu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walinivamia nilipokuwa taabuni, lakini Mwenyezi-Mungu alikuwa kinga yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walikuwa wamenijia mbele ile siku, nilipokuwa nimeshindwa, lakini Bwana akanijia kuwa shikizo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walinikabili siku ya msiba wangu; Lakini BWANA alikuwa tegemeo langu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walinishambulia nilipokuwa katika taabu, lakini Yawe alinikinga.