2 Samuel 22:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alisema, “Mwenyezi-Mungu ni mwamba wangu, ngome yangu, na mkombozi wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akasema: “Mwenyezi Mungu ni mwamba wangu, ngome yangu na mwokozi wangu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akasema, Bwana ndiye jabali langu, na ngome yangu, na mwokozi wangu, naam, wangu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alisema, “Mwenyezi-Mungu ni mwamba wangu, ngome yangu, na mkombozi wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akasema: “BWANA ni mwamba wangu, ngome yangu na mwokozi wangu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akasema: “ bwana ni mwamba wangu, ngome yangu na mwokozi wangu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akasema, BWANA ndiye jabali langu, na ngome yangu, na mwokozi wangu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alisema, “Mwenyezi-Mungu ni mwamba wangu, ngome yangu, na mkombozi wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akasema: Bwana ni ngome yangu na boma langu, tena mponya wangu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akasema, BWANA ndiye jabali langu, na ngome yangu, na mwokozi wangu, naam, wangu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alisema: Yawe ni: kikingio changu, kimbilio langu, mukombozi wangu,