2 Samuel 22:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alinileta, akaniweka mahali pa usalama, alinisalimisha, kwani alipendezwa nami.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alinileta nje mahali penye nafasi tele, akaniokoa kwa kuwa alipendezwa nami.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akanitoa akanipeleka panapo nafasi; Aliniponya kwa kuwa alipendezwa nami.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alinileta, akaniweka mahali pa usalama, alinisalimisha, kwani alipendezwa nami.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alinileta nje mahali penye nafasi tele, akaniokoa kwa sababu alipendezwa nami.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alinileta nje mahali penye nafasi tele, akaniokoa kwa kuwa alipendezwa nami.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akanitoa akanipeleka panapo nafasi; Aliniponya kwa kuwa alipendezwa nami.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alinileta, akaniweka mahali pa usalama, alinisalimisha, kwani alipendezwa nami.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akanitoa kwao, akanikalisha palipo papana; ndivyo, alivyoniopoa kwa kupendezwa nami.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akanitoa akanipeleka panapo nafasi; Aliniponya kwa kuwa alipendezwa nami.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alinileta, akaniweka kwenye nafasi ya usalama; aliniponyesha kwa sababu alipendezwa nami.