2 Samuel 22:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu amenituza kadiri ya uadilifu wangu, yeye anajua usafi wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu amenilipa sawasawa na uadilifu wangu, sawasawa na usafi wangu machoni pake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Bwana amenilipa sawasawa na haki yangu; Sawasawa na usafi wa mikono yangu mbele zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu amenituza kadiri ya uadilifu wangu, yeye anajua usafi wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA amenilipa sawa sawa na uadilifu wangu, sawa sawa na usafi wangu machoni pake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana amenilipa sawasawa na uadilifu wangu, sawasawa na usafi wangu machoni pake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi BWANA amenilipa kulingana na haki yangu; Kulingana na usafi wa mikono yangu mbele zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu amenituza kadiri ya uadilifu wangu, yeye anajua usafi wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akanipatia tena yaupasayo wongofu wangu, kwa kuwa nilikuwa nimeng'aa machoni pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi BWANA amenilipa sawasawa na haki yangu; Sawasawa na usafi wa mikono yangu mbele zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe amenilipa kwa kadiri ya haki yangu, kwa kadiri ya usafi wangu mbele yake.