2 Samuel 22:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Wewe ni mwaminifu kwa walio waaminifu, mwema kwa wale walio wema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kwa yeye aliye mwaminifu unajionesha kuwa mwaminifu, kwa asiye na hatia unajionesha kutokuwa na hatia,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa mtu mwenye fadhili utakuwa mwenye fadhili Kwa mkamilifu utajionyesha kuwa mkamilifu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Wewe ni mwaminifu kwa walio waaminifu, mwema kwa wale walio wema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kwa yeye aliye mwaminifu unajionyesha kuwa mwaminifu, kwa asiye na hatia unajionyesha kuwa asiye na hatia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kwa yeye aliye mwaminifu unajionyesha kuwa mwaminifu, kwa asiye na hatia unajionyesha kutokuwa na hatia,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa mtu mwenye fadhili utakuwa mwenye fadhili Kwa mkamilifu utajionesha kuwa mkamilifu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Wewe ni mwaminifu kwa walio waaminifu, mwema kwa wale walio wema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe humwia mpole aliye mpole, naye aliye mkweli wote nawe humwia mkweli wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa mtu mwenye fadhili utakuwa mwenye fadhili Kwa mkamilifu utajionyesha kuwa mkamilifu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe ni mwema kwa wema, mukamilifu kwa wakamilifu,