2 Samuel 22:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe ni mkamilifu kwa walio wakamilifu, lakini mkatili kwa watu walio waovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa aliye mtakatifu unajionesha kuwa mtakatifu, lakini kwa aliyepotoka unajionesha kuwa mkaidi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwake ajitakasaye utajionyesha kuwa mtakatifu; Na kwa mpotovu utajionyesha kuwa mkaidi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe ni mkamilifu kwa walio wakamilifu, lakini mkatili kwa watu walio waovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa aliye mtakatifu unajionyesha kuwa mtakatifu, lakini kwa aliyepotoka unajionyesha kuwa mkaidi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa aliye mtakatifu unajionyesha kuwa mtakatifu, lakini kwa aliyepotoka unajionyesha kuwa mkaidi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwake ajitakasaye utajionesha kuwa mtakatifu; Na kwa mpotovu utajionesha kuwa mkaidi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe ni mkamilifu kwa walio wakamilifu, lakini mkatili kwa watu walio waovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe humwia mng'avu aliye mng'avu, lakini aliye mpotovu nawe humpotokea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwake ajitakasaye utajionyesha kuwa mtakatifu; Na kwa mpotovu utajionyesha kuwa mkaidi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
bila kosa kwa wale ambao hawafanyi makosa, lakini mukali kwa waovu.