2 Samuel 22:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa msaada wako, wakishambulia kikosi; wewe wanipa nguvu ya kuruka kuta zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa msaada wako naweza kushinda jeshi, nikiwa pamoja na Mungu wangu nitaweza kuruka ukuta.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana kwa msaada wako nafuatia jeshi; Kwa msaada wa Mungu wangu naruka ukuta.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa msaada wako, wakishambulia kikosi; wewe wanipa nguvu ya kuruka kuta zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa msaada wako naweza kusogeza jeshi, nikiwa pamoja na Mungu wangu nitaweza kuruka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa msaada wako naweza kushinda jeshi, nikiwa pamoja na Mungu wangu nitaweza kuruka ukuta.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana kwa msaada wako nafuatia jeshi; Kwa msaada wa Mungu wangu ninaruka ukuta.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa msaada wako, wakishambulia kikosi; wewe wanipa nguvu ya kuruka kuta zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani nitashambulia vikosi vizima kwa nguvu yako, kwa nguvu ya Mungu wangu narukia napo ukutani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana kwa msaada wako nafuatia jeshi; Kwa msaada wa Mungu wangu naruka ukuta.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa musaada wako, ninashinda kundi la waaskari; kwa musaada wa Mungu wangu, ninaruka kuta.