2 Samuel 22:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nani aliye Mungu isipokuwa Mwenyezi-Mungu? Nani aliye mwamba wa usalama ila Mungu wetu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana ni nani aliye Mungu zaidi ya Mwenyezi Mungu? Ni nani aliye Mwamba isipokuwa Mungu wetu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana ni nani aliye Mungu, ila Bwana? Ni nani aliye mwamba, ila Mungu wetu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nani aliye Mungu isipokuwa Mwenyezi-Mungu? Nani aliye mwamba wa usalama ila Mungu wetu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana ni nani aliye Mungu zaidi ya BWANA? Ni nani aliye Mwamba isipokuwa Mungu wetu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana ni nani aliye Mungu zaidi ya bwana? Ni nani aliye Mwamba isipokuwa Mungu wetu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana ni nani aliye Mungu, ila BWANA? Ni nani aliye mwamba, ila Mungu wetu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nani aliye Mungu isipokuwa Mwenyezi-Mungu? Nani aliye mwamba wa usalama ila Mungu wetu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani yuko nani aliye Mungu, asipokuwa Bwana? Tena yuko nani aliye mwamba, asipokuwa Mungu wetu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana ni nani aliye Mungu, ila BWANA? Ni nani aliye mwamba, ila Mungu wetu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nani anayekuwa Mungu isipokuwa Yawe? Nani anayekuwa kikingio isipokuwa Mungu wetu?