2 Samuel 22:35 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hunifunza kupigana vita, mikono yangu iweze kuvuta upinde wa shaba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huifundisha mikono yangu kupigana vita; mikono yangu inaweza kupinda upinde wa shaba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ananifundisha mikono yangu vita; Hata mikono yangu yaupinda upinde wa shaba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hunifunza kupigana vita, mikono yangu iweze kuvuta upinde wa shaba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huifundisha mikono yangu kwa ajili ya kupigana vita; mikono yangu inaweza kupinda upindi wa shaba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huifundisha mikono yangu kupigana vita; mikono yangu inaweza kupinda upinde wa shaba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ananifundisha mikono yangu vita; Hata mikono yangu inaupinda upinde wa shaba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hunifunza kupigana vita, mikono yangu iweze kuvuta upinde wa shaba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huifundisha mikono yangu kupiga vita, mpaka mikono yangu iweze kupinda hata uta wa shaba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ananifundisha mikono yangu vita; Hata mikono yangu yaupinda upinde wa shaba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ananifundisha kupigana vita, mikono yangu iweze kuvuta upinde wa shaba.