2 Samuel 22:36 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umenipa ngao yako ya kuniokoa; msaada wako umenifanya mkuu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hufanya msaada wa wokovu wako kuwa ngao yangu; msaada wako umeniinua niwe mkuu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe umenipa ngao ya wokovu wako; Na unyenyekevu wako umenikuza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umenipa ngao yako ya kuniokoa; msaada wako umenifanya mkuu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hunipa ngao yako ya ushindi, hujishusha chini ili kuniinua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hunipa ngao yako ya ushindi, unajishusha chini ili kuniinua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe umenipa ngao ya wokovu wako; Na unyenyekevu wako umenikuza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umenipa ngao yako ya kuniokoa; msaada wako umenifanya mkuu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hunipa ngao ya kuniokoa, napo hapo, unaponinyenyekeza, hunikuza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe umenipa ngao ya wokovu wako; Na unyenyekevu wako umenikuza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umenipa ngao yako ya kuniokoa; umenifanikisha kwa wema wako.